Maelezo ya Chini
a Wamishonari wa muda mrefu kama vile Peter Vanderhaegen na Len Davis walikuwa wamepita umri wa kustaafu na Marian Tambunan (zamani Stoove) aliolewa na Mwindonesia, kwa hiyo waliruhusiwa wabaki nchini. Wote watatu waliendelea kuwa hai kiroho nao wakapata matokeo mazuri katika huduma licha ya marufuku.