Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Matukio mengine ambayo yanaashiria siku za mwisho ni kama vile vita, matetemeko ya ardhi, upungufu wa chakula, na magonjwa ya kuenea. Matukio hayo yalikuwepo zamani. (Luka 21:10, 11) Hata hivyo, yameongezeka na yanatukia kwa wakati uleule kwa kiwango kikubwa sana kuliko wakati mwingine wowote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki