Maelezo ya Chini
a Baadhi ya tafsiri za Biblia hutumia moto wa mateso (hell) kufafanua mahali ambapo yule mwanamume tajiri alikuwa baada ya kufa. Hata hivyo, neno la awali la Kigiriki (Hadesi) linalotumiwa kwenye Luka 16:23 linamaanisha kaburi la kawaida la mwanadamu.