Maelezo ya Chini
a Siku moja baada ya uvamizi huo, Tume ya Umoja wa Mataifa Inayoshughulikia Wakimbizi (UNHCR) ilisema kwamba hiyo ndiyo hali ya dharura zaidi katika shambulizi hilo. Ndani ya siku 12 tu, zaidi ya wakimbizi milioni mbili walikuwa wamekimbilia nchi jirani, huku watu milioni moja ambao bado wako nchini Ukrainia wamelazimika kuacha makao yao.