Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Dini nyingi za Kikristo zinafundisha kwamba Ufalme wa Mungu umo ndani ya mtu, au ndani ya moyo wa mtu. Kwa mfano, nchini Marekani, kanisa fulani la Baptisti (Southern Baptist Convention) lilisema kwamba Ufalme wa Mungu ni sehemu ya “utawala wa Mungu katika moyo na maisha ya mtu mmoja-mmoja.” Vivyo hivyo, katika kitabu chake Jesus of Nazareth, Papa Benedict wa 16 alisema kwamba “Ufalme wa Mungu unakuja kupitia moyo msikivu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki