Maelezo ya Chini
c Haki kama hizo zimetiwa ndani katika Mkataba wa Afrika wa Haki za Kibinadamu, Azimio la Amerika la Haki na Wajibu wa Wanadamu, Mkataba wa Nchi za Kiarabu wa Haki za Kibinadamu wa 2004, Azimio la Nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia la Haki za Kibinadamu (ASEAN), Mkataba wa Ulaya wa Haki za Kibinadamu, na Agano la Kimataifa la Haki za Kiraia na za Kisiasa. Hata hivyo, mataifa yanayodai kutoa haki hizo yanatofautiana katika uwajibikaji wa kuhakikisha haki hizo zinatolewa.