Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c Kwa mfano, baraza linalowakilisha dini nyingi za Kiprotestanti nchini Marekani lilitangaza katika mwaka wa 1918 kwamba Ushirika wa Mataifa ungekuwa “wonyesho wa kisiasa wa Ufalme wa Mungu duniani.” Mnamo 1965, wawakilishi wa Ubudha, Ukatoliki, Kanisa la Othodoksi la Mashariki, Uhindu, Uislamu, Uyahudi, na Uprotestanti walikusanyika kule San Francisco kutegemeza na kusali kwa ajili ya Umoja wa Mataifa. Na katika mwaka wa 1979, Papa John Paul wa Pili alieleza tumaini lake kwamba Umoja wa Mataifa “litaendelea daima kuwa baraza kuu zaidi la amani na haki.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki