Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Katika Biblia, maneno ya awali yaliyotafsiriwa “fidia” yanatoa wazo la bei, au kitu chenye thamani, kinacholipwa. Kwa mfano, kitenzi cha Kiebrania ka·pharʹ kimsingi kinamaanisha “funiko.” (Mwanzo 6:14) Kwa kawaida kinamaanisha kufunika dhambi. (Zaburi 65:3) Nomino inayopatana na neno hilo koʹpher inawakilisha bei iliyolipwa ili kutimiza tendo hilo la kufunika, au kukomboa. (Kutoka 21:30) Vivyo hivyo, neno la Kigiriki lyʹtron, ambalo kawaida hutafsiriwa kuwa “fidia,” pia, linaweza kuwa “bei ya ukombozi.” (Matthew 20:28; The New Testament in Modern Speech, ya R. F. Weymouth) Waandikaji wa Kigiriki walitumia neno hilo kumaanisha malipo yanayotolewa kumkomboa mtu aliyetekwa nyara vitani au kumwachilia huru mtumwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki