Maelezo ya Chini
a Makala hii itazungumza kuhusu kuharakisha kifo cha mtu aliye na ugonjwa usioweza kupona ambako hufanywa hasa kwa wagonjwa mahututi au waliojeruhiwa vibaya ili kuwaepusha na mateso zaidi. Katika visa fulani madaktari humsaidia mgonjwa kujiua.