Maelezo ya Chini
a Wasomi fulani wamesema kwamba mlima unaotajwa hapa ni Mlima Karmeli, ambapo Mungu alimwezesha Eliya kuwashinda manabii wa Baali miaka michache mapema. Hata hivyo, Biblia haisemi waziwazi ulikuwa mlima gani.