Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

e Unabii huu unapatikana katika kitabu cha Zekaria, hata hivyo, mwandikaji wa Biblia Mathayo alisema kwamba ‘ulisemwa kupitia nabii Yeremia.’ (Mathayo 27:9) Inaonekana kwamba nyakati nyingine kitabu cha Yeremia kiliwekwa kwanza katika sehemu ya Maandiko iliyoitwa “Manabii.” (Luka 24:44) Inaonekana kwamba Mathayo alitaja “Yeremia” kurejelea mkusanyo huo wote wa vitabu, uliotia ndani kitabu cha Zekaria.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki