Maelezo ya Chini
a ATP inamaanisha Association of Tennis Professionals (Shirika la Wachezaji wa Tenisi wa Kulipwa). Ni shirika linaloshughulika na wanaume wanaocheza tenisi ya kulipwa. Mashindano ya ATP Tour yanatia ndani mashindano kadhaa ambayo alama zinajumlishwa na tuzo kutolewa kwa washindi. Jumla ya alama alizopata mchezaji zinaonyesha atakuwa namba ngapi ulimwenguni.