Maelezo ya Chini
b Katika muundo huu wa utungaji, mstari wa kwanza au mistari kadhaa inaanza kwa herufi ya kwanza ya alfabeti ya Kiebrania, kisha mistari kadhaa inayofuata inaanza na herufi ya pili, na kuendelea vivyo vivyo. Huenda kutumia njia hiyo kulisaidia watu kukumbuka mistari hiyo.