Maelezo ya Chini
b Chumba hicho cha gereza chenye ukubwa wa mita nne tu za mraba, hakikuwa na choo, na nilikaa humo kwa miezi saba. Nililala sakafuni na nilikuwa na blanketi moja tu.