Maelezo ya Chini
a Kila mara kitu kinapopakuliwa kwenye JW Library gharama ndogo inahusika. Kwa mfano, mwaka uliopita tulitumia zaidi ya dola milioniĀ 1.5 (za Marekani) ili watumiaji wawe na uwezo wa kutazama, kusikiliza, na kupakua vitu kwenye jw.org na JW Library. Hata hivyo, kupakua machapisho na rekodi za kielektroni ni gharama ndogo zaidi kuliko kutokeza na kusafirisha machapisho, CD, na DVD.