Maelezo ya Chini
a Katika mifumo fulani ya maandishi ya vipofu, maneno yamefupishwa ili kuokoa nafasi. Kwa mfano, maandishi ya vipofu ya daraja la pili hufupisha maneno na herufi zinazofahamika. Hivyo, kitabu cha maandishi ya vipofu daraja la pili ni kidogo zaidi kuliko kitabu kilekile cha maandishi ya vipofu daraja la kwanza.