-
Mwe na Imani Kama ya Abrahamu!Mnara wa Mlinzi—2001 | Agosti 15
-
-
Isitoshe, kwa kutojua kwamba Sarai alikuwa ameolewa, Farao alimpa Abramu zawadi nyingi sana, hivi kwamba “alikuwa na kondoo na ng’ombe , na punda waume, na watumwa, na wajakazi, na punda wake, na ngamia.”b (Mwanzo 12:16) Ni lazima Abramu awe alichukizwa kama nini na zawadi hizo! Ingawa hali zilionekana kuwa mbaya, Yehova hakuwa amemwacha Abramu.
-
-
Mwe na Imani Kama ya Abrahamu!Mnara wa Mlinzi—2001 | Agosti 15
-
-
b Huenda ikawa Hagari, ambaye baadaye alikuwa suria wa Abramu, alikuwa mmojawapo wa watumishi ambao Abramu alipewa wakati huo.—Mwanzo 16:1.
-