Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Iweni Waigaji wa Mungu”
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Oktoba 1
    • Yehova Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano Wake, kulingana na sura Yake. (Mwanzo 1:26, 27) Hivyo, Mungu amewapa wanadamu sifa zinazofanana na zake.a

  • “Iweni Waigaji wa Mungu”
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Oktoba 1
    • a Andiko la Wakolosai 3:9, 10 linaonyesha kwamba kuumbwa katika mfano wa Mungu kunahusiana na kuwa na utu wake. Wale wanaotaka kumpendeza Mungu wanahimizwa wajivike “utu mpya” ambao “unafanywa kuwa mpya kulingana na mfano wa Yule [Mungu] aliyeuumba.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki