Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Ninavipenda Vikumbusho Vyako”
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Juni 15
    • 14, 15. (a) Kwa nini tunapendezwa na simulizi la Yosefu? (b) Kwa nini mwanamke mmoja Mkristo anafurahi kwamba alifuata vikumbusho vya Mungu?

      14 Yosefu alilelewa katika familia inayomwogopa Mungu, naye alijua kwamba ni kosa kwa watu ambao si mume na mke kufanya ngono pamoja. Aliuliza hivi: “Ninawezaje kufanya ubaya huu mkubwa na kwa kweli nimtendee Mungu dhambi?” Huenda alikata kauli hiyo kwa sababu alijua ile kanuni ambayo Mungu aliwapa wanadamu huko Edeni, yaani, kanuni ya kuwa na mume mmoja na mke mmoja. (Mwanzo 2:24)

  • “Ninavipenda Vikumbusho Vyako”
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Juni 15
    • Mwanzo 37:2, 18-28; 39:1-

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki