Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jihadhari na “Sauti ya Wageni”
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Septemba 1
    • 8. Shetani alipotoshaje maneno na makusudi ya Yehova?

      8 Udanganyifu wa Shetani ulionekana wazi kupitia jinsi alivyopotosha maneno na makusudi ya Yehova. “Je, ni kweli kwamba Mungu alisema msile matunda ya kila mti wa bustani?” akamuuliza Hawa. Shetani alijifanya kuwa ameshangaa, kana kwamba alikuwa akisema: ‘Mungu angewezaje kuwaambia mfanye jambo kama hilo ambalo halipatani na akili hata kidogo?’

  • Jihadhari na “Sauti ya Wageni”
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Septemba 1
    • Mwanzo 2:16, 17; 3:1,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki