Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tembea Pamoja na Mungu Nyakati Hizi za Misukosuko
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Septemba 1
    • Baada ya Abeli kuuawa kikatili, Adamu na Hawa walipata mwana mwingine, nao wakamwita Sethi. Tunasoma hivi kumhusu: “Sethi akazaa mwana pia naye akamwita jina lake Enoshi. Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la Yehova.” (Mwanzo 4:25, 26) Inasikitisha kwamba huko “kuliitia jina la Yehova” kulifanywa kwa njia ya kumwasi Yehova.b

  • Tembea Pamoja na Mungu Nyakati Hizi za Misukosuko
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Septemba 1
    • b Kabla ya siku za Enoshi, Yehova alizungumza na Adamu. Abeli alimtolea Yehova toleo lililokubalika. Pia, kabla Kaini hajachochewa kuua kwa sababu ya hasira yenye wivu, Mungu alizungumza naye. Hivyo, yaonekana watu walianza “kuliitia jina la Yehova” kwa njia mpya, si katika ibada safi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki