Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kunguru—Ni Nini Kinachomfanya Awe Tofauti?
    Amkeni!—1997 | Januari 8
    • Kunguru ni warukaji wa ajabu. Wao huvutia sana wanapopaa bila jitihada yoyote wakizunguka-zunguka kwa mapana, wakichunguza chini kwa ajili ya chakula. Wao hufanya tamasha za hewani kwa ustadi—wakipinduka-pinduka hata wakiruka kwa muda mfupi wakiwa chali—hasa wakati wa kujamiiana na, inaonekana, nyakati nyingine kwa kujifurahisha tu. Mruko wa kunguru wafafanuliwa vizuri na Bernd Heinrich katika Ravens in Winter: “Yeye hupiga mbizi na kupinduka-pinduka kama radi nyeusi angani au huenda kwa kasi na kwa uanana.” Yeye aongezea kwamba kunguru ni “mrukaji hodari sana, na ana uwezo mwingine zaidi.” Nguvu ya kunguru ya kuruka imesemwa kuwa ndiyo sababu iliyofanya Noa amchague kuwa kiumbe cha kwanza kutumwa nje ya safina wakati wa Gharika.—Mwanzo 8:6, 7.

  • Kunguru—Ni Nini Kinachomfanya Awe Tofauti?
    Amkeni!—1997 | Januari 8
    • Katika Biblia kunguru ana sifa ya kuwa ndege wa kwanza kutajwa humo.—Mwanzo 8:7.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki