-
Neno la Mungu Hudumu MileleMnara wa Mlinzi—1997 | Oktoba 1
-
-
(1) Wasamaria walijenga hekalu juu ya Mlima Gerizimu ili kushindana na hekalu lililokuwa Yerusalemu. Ili kutegemeza hilo, maandishi ya ziada yalitiwa kwenye Kutoka 20:17 katika Pentateuki ya Kisamaria. Amri ya kujenga madhabahu ya mawe juu ya Mlima Gerizimu na kutoa dhabihu huko iliongezwa, kana kwamba ni sehemu ya Dekalogi.
-
-
Neno la Mungu Hudumu MileleMnara wa Mlinzi—1997 | Oktoba 1
-
-
Kuongeza marejezo kuhusu Mlima Gerizimu hakukusababisha dini ya Kisamaria iwe wakili wa Mungu wa kubariki wanadamu. Badala ya hivyo, kulitoa uthibitisho wa kwamba, ijapokuwa dini ya Kisamaria ilidai kuiamini Pentateuki, haingeweza kutegemewa kufundisha kweli. (Yohana 4:20-24)
-