-
Je, Unathamini Uhai Kama Vile Mungu Anavyouthamini?“Jitunzeni Katika Upendo wa Mungu”
-
-
Andiko la Mambo ya Walawi 17:10, 11 linasema: “Mtu yeyote . . . atakayekula namna yoyote ya damu, nitauweka uso wangu dhidi ya nafsi hiyo inayokula damu, nami hakika nitamkatilia mbali kutoka katikati ya watu wake. Kwa maana nafsi ya mwili iko katika damu, nami mwenyewe nimeiweka juu ya madhabahu ili ninyi mfanye upatanisho kwa ajili ya nafsi zenu, kwa sababu damu ndiyo hufanya upatanisho kupitia nafsi iliyo ndani yake.”a
-
-
Je, Unathamini Uhai Kama Vile Mungu Anavyouthamini?“Jitunzeni Katika Upendo wa Mungu”
-
-
a Kuhusu taarifa ya Mungu ya kwamba “nafsi ya mwili iko katika damu,” gazeti moja linasema kwamba ingawa ni kweli damu inatumiwa kwa njia ya mfano kuwakilisha uhai, “taarifa hiyo ni kweli kihalisi: kila aina tofauti ya chembe za damu inahitajika ili kuendeleza uhai.”—Scientific American.
-