Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Mambo ya Walawi
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Mei 15
    • 10:1, 2—Huenda ikawa dhambi ya Nadabu na Abihu, wana wa Haruni, ilihusisha nini? Punde baada ya Nadabu na Abihu kutenda isivyofaa katika majukumu yao ya ukuhani, Yehova aliwakataza makuhani kunywa mvinyo au kileo wanapotumikia kwenye maskani. (Mambo ya Walawi 10:9) Hiyo inaonyesha kwamba huenda wana wawili wa Haruni walikuwa wamelewa katika pindi inayotajwa hapa. Hata hivyo, sababu hasa iliyofanya wafe ni kutoa “moto haramu, ambao [Yehova] hakuwa amewaamuru.”

  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Mambo ya Walawi
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Mei 15
    • 10:1, 2. Leo lazima watumishi wa Yehova wenye madaraka wafuate viwango vya Mungu. Pia, hawapaswi kuwa na kimbelembele wanaposhughulikia madaraka yao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki