Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kimbelembele Hutokeza Aibu
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Agosti 1
    • Kora—Mwasi Mwenye Husuda

      4. (a) Kora alikuwa nani, na yaelekea alishiriki katika matukio gani makuu? (b) Katika miaka yake ya baadaye, Kora alichochea tendo gani baya?

      4 Kora alikuwa Mlawi wa Kohathi na pia binamu ya Musa na Aroni. Inaonekana kwamba alikuwa mwaminifu-mshikamanifu kwa Yehova kwa miaka mingi. Kora alikuwa na pendeleo la kuwa miongoni mwa wale waliookolewa kimuujiza walipovuka Bahari Nyekundu, na yaelekea alishiriki kutekeleza hukumu ya Yehova dhidi ya Waisraeli walioabudu ndama kwenye Mlima Sinai. (Kutoka 32:26) Lakini, hatimaye Kora aliongoza maasi dhidi ya Musa na Aroni, maasi ambayo yaliwahusisha Dathani, Abiramu, na Oni, wa kabila la Reubeni, pamoja na wakuu 250 wa Israeli.a

  • Kimbelembele Hutokeza Aibu
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Agosti 1
    • a Kwa kuwa Reubeni ndiye aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, huenda wazao wake waliochochewa na Kora kuasi walichukia mamlaka ya Musa juu yao kwa sababu Musa alikuwa wa uzao wa Lawi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki