-
Ehudi Avunja Nira ya MkandamizajiMnara wa Mlinzi—2004 | Machi 15
-
-
Atoroka Bila Magumu Yoyote
Bila kupoteza wakati akijaribu kuuchomoa upanga wake, “Ehudi akatoka nje kupitia tundu la hewa, lakini akaifunga kwa ufunguo milango ya chumba cha dari. Naye akatoka nje.
-
-
Ehudi Avunja Nira ya MkandamizajiMnara wa Mlinzi—2004 | Machi 15
-
-
“Tundu la hewa” ambalo Ehudi alipitia lilikuwa nini? Kitabu kimoja cha kitaalamu kinasema, “Maana kamili ya neno la Kiebrania haijulikani,” lakini “inadokezwa kwamba neno hilo linamaanisha ‘ukumbi wa kuingilia.’” Je, Ehudi aliifunga milango kwa ufunguo akiwa ndani kisha akatoka kupitia njia nyingine? Au je, aliifunga akiwa nje kwa kutumia ufunguo wa mfalme aliyekuwa mfu?
-