Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ehudi Avunja Nira ya Mkandamizaji
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 15
    • Naye akatoka nje. Na watumishi wa [Egloni] wakaja na kuanza kuangalia, na tazama, milango ya chumba cha dari ilikuwa imefungwa kwa ufunguo. Kwa hiyo wakasema: ‘Ameenda haja katika chumba chake cha ndani chenye baridi.’”—Waamuzi 3:23, 24.

  • Ehudi Avunja Nira ya Mkandamizaji
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 15
    • Je, baada ya kufunga alitembea polepole na kupita mbele ya walinzi kana kwamba hakuna jambo lolote lililokuwa limetukia? Biblia haielezi. Lakini, hata Ehudi awe alitumia njia gani, watumishi wa Egloni hawakushuku chochote mara moja walipopata milango ikiwa imefungwa. Walifikiri tu kwamba mfalme “ameenda haja.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki