-
Ehudi Avunja Nira ya MkandamizajiMnara wa Mlinzi—2004 | Machi 15
-
-
Watumishi wa mfalme walipokuwa wakisitasita, Ehudi alitoroka. Kisha akawaita Waisraeli wenzake na kuwaambia: “Nifuateni, kwa maana Yehova amewatia adui zenu, Wamoabu, mkononi mwenu.” Kwa kuteka vivuko muhimu kijeshi vya Yordani, wanaume wa Ehudi waliwazuia Wamoabu wasiokuwa na kiongozi kurudi nchini mwao.
-