Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mtu Anayekubalika kwa Moyo wa Yehova
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Septemba 1
    • Daudi alikabili hatari mbalimbali akiwa mchungaji. Ni katika milima hiyo ambapo Daudi alipambana na simba na dubu waliojaribu kuchukua kondoo aliokuwa akichunga.a Kijana huyo mjasiri aliwakimbiza wanyama hao wawindaji, akawaua, na kuwaokoa kondoo wake kutoka midomoni mwao. (1 Samweli 17:34-36)

  • Mtu Anayekubalika kwa Moyo wa Yehova
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Septemba 1
    • a Dubu wa rangi ya kahawia wa Siria waliopatikana katika eneo la Palestina, walikuwa na uzito wa kilo 140 hivi na walikuwa na uwezo wa kuua mnyama au mwanadamu kwa kumpiga kwa miguu yao mikubwa ya mbele. Wakati fulani kulikuwa na simba wengi katika eneo hilo. Andiko la Isaya 31:4 linasema kuwa hata “hesabu kamili ya wachungaji” hawangeweza kumfukuza “mwana-simba mwenye manyoya shingoni” kutoka kwa windo lake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki