-
Alitenda kwa BusaraMnara wa Mlinzi—2009 | Julai 1
-
-
Zaidi ya kuwekwa huru kutoka katika ndoa mbaya, Abigaili angepata baraka nyingine. Daudi aliposikia kwamba Nabali amekufa, alituma wajumbe kwa Abigaili ili kumpendekezea wafunge ndoa. Abigaili akajibu hivi: “Tazama, mimi ni kijakazi wako, niwe mjakazi wa kuosha miguu ya watumishi wa bwana wangu.” Kwa wazi, mtazamo wake haukuwa umebadilika kwa sababu ya kutarajia kuwa mke wa Daudi; alijitolea hata kuwa mjakazi wa watumishi wa Daudi!
-