Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Pili cha Samweli
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Mei 15
    • 8:2—Ni Wamoabu wangapi waliouawa baada ya kupigwa na Israeli? Huenda idadi hiyo ilikadiriwa kwa kupima wala si kwa kuhesabu. Inaonekana kwamba Daudi aliwaagiza Wamoabu walale chini, wakiwa wamejipanga katika mstari. Halafu, akaagiza mstari huo upimwe kwa kamba. Inaonekana vipimo viwili vya kamba, au theluthi mbili ya Wamoabu waliuawa, na kipimo kimoja cha kamba, au theluthi moja hawakuuawa.

  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Pili cha Samweli
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Mei 15
    • 8:2. Unabii uliotolewa yapata miaka 400 mapema unatimizwa. (Hesabu 24:17) Neno la Yehova hutimizwa sikuzote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki