-
Alifarijiwa na Mungu WakeMnara wa Mlinzi—2011 | Julai 1
-
-
Huko Horebu, “neno” la Yehova—yaelekea lilimjia kupitia malaika—lilimuuliza swali hili rahisi: “Una kazi gani hapa, Eliya?” Inaelekea swali hilo liliulizwa kwa njia ya upole, kwa kuwa Eliya alitumia nafasi hiyo kueleza yote yaliyokuwa moyoni mwake.
-