-
Yehu Atetea Ibada SafiMnara wa Mlinzi—2011 | Novemba 15
-
-
Yehu anatajwa kwa mara ya kwanza katika Maandiko akiwa ameketi pamoja na wakuu wa jeshi wakati Waisraeli walipokuwa wakipigana na Wasiria huko Ramothi-gileadi. Yehu alikuwa ofisa mwenye cheo cha juu, au labda kamanda wa jeshi la Israeli.
-