Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Msikiaji wa Sala”
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Oktoba 1
    • Acheni tuchunguze 1 Mambo ya Nyakati 4:9, 10.

      Mambo yote tunayojua kumhusu Yabesi yanapatikana katika mistari hiyo miwili. Kulingana na mstari wa 9, mama yake ‘alimwita jina Yabesi, akisema: “Nimemzaa kwa maumivu.”’a Kwa nini alichagua jina hilo? Je, alimzaa mwana huyo kwa maumivu makali zaidi kuliko ilivyo kawaida? Je, labda alikuwa mjane aliyehuzunika kwamba mumewe hakuwa hai kumwona mtoto wao mchanga? Biblia haijibu maswali hayo. Lakini siku moja mama huyo angekuwa na sababu ya kujivunia mtoto wake. Huenda ndugu za Yabesi walikuwa watu wenye kuheshimika, lakini “Yabesi a[liku]ja kuheshimika kuliko ndugu zake.”

  • “Msikiaji wa Sala”
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Oktoba 1
    • a Jina Yabesi linatokana na neno linaloweza kumaanisha “maumivu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki