-
“Kuna Thawabu kwa Ajili ya Kazi Yenu”Mnara wa Mlinzi—2012 | Agosti 15
-
-
Katika mwaka wa 36 wa utawala wa Asa, Mfalme Baasha wa Israeli alivamia Yuda. Labda ili kuwazuia raia wake wasionyeshe ushikamanifu kwa Asa na ibada safi, Baasha alianza kuimarisha jiji la mpakani la Rama, kilomita nane upande wa kaskazini wa Yerusalemu.
-