Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu Alilitukuza Jina la Yehova
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 15
    • 6. (a) Ni jambo gani lililotukia katika mkutano mwingine huko mbinguni? (b) Shetani alikuwa akimfikiria nani alipotilia shaka utimilifu wa Ayubu kwa Yehova?

      6 Baadaye, kulikuwa na mkutano mwingine mbinguni. Kwa mara nyingine tena Shetani alimshtaki Ayubu, akisema: “Ngozi kwa ngozi, na kila kitu alicho nacho mtu atakitoa kwa ajili ya nafsi yake. Ili kuwe na badiliko, tafadhali nyoosha mkono wako, uguse kufikia mfupa wake na nyama yake, uone kama hatakulaani wewe mbele za uso wako.” Ona kwamba Shetani alihusisha watu wengine katika mashtaka yake. Kwa kusema, “Kila kitu alicho nacho mtu atakitoa kwa ajili ya nafsi yake,” Ibilisi hakutilia shaka utimilifu wa Ayubu tu, bali pia wa “mtu” yeyote yule anayemwabudu Yehova.

  • Ayubu Alilitukuza Jina la Yehova
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 15
    • Ayu. 2:1-

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki