Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Ufufuo Ni Halisi Kwako?
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Mei 15
    • Kwa mfano, fikiria maneno haya ya mwanamume mwaminifu Ayubu yaliyoongozwa na roho: “Mtu akifa, je, anaweza kuishi tena? Mimi nitangojea siku zote za kazi yangu ya kulazimishwa, mpaka kitulizo changu kije.

  • Je, Ufufuo Ni Halisi Kwako?
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Mei 15
    • Ayubu 14:14,

  • Je, Ufufuo Ni Halisi Kwako?
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Mei 15
    • 7 Ayubu alijua kwamba baada ya kufa, angepaswa kungoja kwa kipindi fulani cha wakati akiwa amelala katika kifo. Aliona kipindi hicho kuwa wakati wa ‘kazi ya kulazimishwa,’ kipindi ambacho angelazimishwa kungoja ili aachiliwe huru. Aliona kuachiliwa huko kuwa jambo hakika. Ayubu alitambua kwamba kitulizo chake kingekuja. Kwa nini? Kwa sababu alijua hisia za Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki