-
Tazameni Mtekelezaji wa Mambo ya Ajabu!Mnara wa Mlinzi—2001 | Aprili 15
-
-
“Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi? Haya! sema, kama ukiwa na ufahamu. Ni nani aliyeamrisha vipimo vyake, kama ukijua? Au ni nani aliyenyosha kamba juu yake?
-
-
Tazameni Mtekelezaji wa Mambo ya Ajabu!Mnara wa Mlinzi—2001 | Aprili 15
-
-
11. Twapaswa kung’amua nini kutokana na andiko la Ayubu 38:4-6?
11 Ayubu alikuwa wapi, sisi tulikuwa wapi dunia ilipoumbwa? Je, yeyote kati yetu alichora ramani za ujenzi za dunia yetu, na kutumia ramani hiyo kupima vipimo mbalimbali kana kwamba kwa rula? Bila shaka la. Wanadamu hata hawakuwepo wakati huo.
-