Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yesu Aliweka Kielelezo Cha Unyenyekevu
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Novemba 15
    • YESU ‘ATAPANDA KWA KUTETEA KWELI NA UNYENYEKEVU’

      16. Ni nini kinachoonyesha kwamba Mwana wa Mungu ataendelea kutenda kwa unyenyekevu?

      16 Mwana wa Mungu ataendelea kutenda kwa unyenyekevu. Akitabiri kuhusu jinsi Yesu atakavyochukua hatua dhidi ya adui Zake akiwa katika cheo chake kilichotukuka mbinguni, mtunga-zaburi aliimba hivi: “Katika fahari yako endelea mpaka ufanikiwe; panda kwa kutetea kweli na unyenyekevu na uadilifu.” (Zab. 45:4) Yesu Kristo atapanda ili kutetea kweli na unyenyekevu na uadilifu katika vita vya Har–Magedoni.

  • Yesu Aliweka Kielelezo Cha Unyenyekevu
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Novemba 15
    • Itakuwaje kwetu wakati Mfalme Yesu Kristo atakapokuja kutekeleza hukumu katika vita vya Har–Magedoni? Kwa kuwa Yesu atapanda ili kutetea unyenyekevu na uadilifu, atawakomboa wale tu ambao ni wanyenyekevu na waadilifu. Basi, ni muhimu sana tusitawishe unyenyekevu ili tuokolewe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki