Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Maana miaka elfu machoni pako ni kama siku ya jana ikiisha kupita, na kama kesha la usiku.”—Zaburi 90:3, 4.

  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • 11. Kwa nini tunaweza kusema kwamba muda unaoonekana kuwa mrefu sana kwetu ni mfupi sana kwa Mungu?

      11 Kwa maoni ya Yehova, hata Methusela aliyekuwa na umri wa miaka 969 aliishi kwa muda unaopungua siku moja. (Mwanzo 5:27) Kwa Mungu miaka elfu ni kama siku ya jana—muda wa saa 24 tu—ikiisha kupita. Mtunga-zaburi pia anataja kwamba kwa Mungu miaka elfu ni kama muda wa saa nne ambazo mlinzi anakuwa kambini wakati wa usiku. (Waamuzi 7:19) Basi, ni wazi kwamba muda unaoonekana kuwa mrefu sana kwetu ni mfupi sana kwa Yehova, Mungu wa milele.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki