-
Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku ZetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
12. Wanadamu ‘hugharikishwaje’ na Mungu?
12 Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana yakilinganishwa na Mungu aishiye milele. Mtunga-zaburi anasema: “Wawagharikisha, huwa kama usingizi, asubuhi huwa kama majani [“nyasi,” “NW”] yameayo.
-
-
Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku ZetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Musa aliona Waisraeli wengi sana wakifa nyikani, ‘wakigharikishwa’ na Mungu kama katika gharika. Sehemu hii ya zaburi imetafsiriwa hivi: “Wawagharikisha watu katika usingizi wa kifo.” (New International Version) Kwa upande mwingine, muda ambao wanadamu wasio wakamilifu wanatarajiwa kuishi ni “kama usingizi” wa muda mfupi—kama usingizi wa usiku mmoja tu.
-