-
Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku ZetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Asubuhi yachipuka na kumea, jioni yakatika na kukauka.” (Zaburi 90:5, 6)
-
-
Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku ZetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
13. Sisi ni kama “nyasi” jinsi gani, na jambo hilo linapaswa kuathirije kufikiri kwetu?
13 Sisi ni kama ‘nyasi imeayo ambayo asubuhi huchipuka na kumea’ lakini hukauka kufikia jioni kwa sababu ya jua kali. Naam, maisha yetu ni mafupi kama nyasi ambayo hukauka kwa siku moja tu. Kwa hiyo, tusiyatumie vibaya maisha yetu ambayo ni yenye thamani. Badala yake, tunapaswa kutafuta mwongozo wa Mungu kuhusu jinsi tunavyopaswa kutumia miaka inayobaki ya maisha yetu katika mfumo huu wa mambo.
-