Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • 14, 15. Andiko la Zaburi 90:7-9 lilitimizwaje kuhusiana na Waisraeli?

      14 Kuhusu Mungu, mtunga-zaburi anaongeza kusema: “Maana tumetoweshwa kwa hasira yako, na kwa ghadhabu yako tumefadhaishwa.

  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Zaburi 90:7

  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • 15 Waisraeli wasio na imani ‘walitoweshwa kwa hasira ya Mungu.’ ‘Walifadhaishwa na ghadhabu yake,’ au ‘walitishwa na ghadhabu yake.’ (BHN) Baadhi yao “waliangamizwa nyikani” kutokana na hukumu za Mungu. (1 Wakorintho 10:5)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki