Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Umeyaweka maovu yetu mbele zako, siri zetu katika mwanga wa uso wako.

  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Zaburi 90:7-

  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Yehova ‘aliweka maovu yao mbele zake.’ Waliwajibika kwake kwa makosa waliyotenda hadharani, lakini hata “siri” zao au dhambi walizokuwa wameficha, zilikuwa ‘katika mwanga wa uso wake.’ (Mithali 15:3)

  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • 16. Iwapo watu fulani wanafanya dhambi kisiri, wanapaswa kufanya nini?

      16 Iwapo yeyote kati yetu anafanya dhambi kisiri, anaweza kuwaficha wanadamu wenzake dhambi hiyo kwa muda. Lakini dhambi hiyo ya siri ingekuwa ‘katika mwanga wa uso wa Yehova,’ na matendo yake yangeharibu uhusiano wake naye. Ili kurudisha uhusiano wa karibu pamoja na Yehova, tungehitaji kumwomba msamaha, kuacha dhambi, na kukubali kwa shukrani msaada wa kiroho wa wazee Wakristo. (Mithali 28:13; Yakobo 5:14, 15)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki