Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Maana siku zetu zote zimepita katika hasira yako, tumetowesha miaka yetu kama kite.”—Zaburi 90:7-9.

  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Kwa sababu ya hasira ya Mungu, Waisraeli wasiotubu ‘walitowesha miaka yao kama kite.’ Kwa sababu hiyo, maisha yetu mafupi ni kama pumzi ipitayo midomoni mwetu kama kite tu.

  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Ili kurudisha uhusiano wa karibu pamoja na Yehova, tungehitaji kumwomba msamaha, kuacha dhambi, na kukubali kwa shukrani msaada wa kiroho wa wazee Wakristo. (Mithali 28:13; Yakobo 5:14, 15) Kufanya hivyo kungekuwa jambo jema kama nini kuliko labda ‘kutowesha miaka yetu kama kite,’ na kuhatarisha tumaini letu la uhai udumuo milele!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki