Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • 18, 19. (a) Inamaanisha nini “kuzihesabu siku zetu, tujipatie moyo wa hekima”? (b) Kutumia hekima kutatuchochea tufanye nini?

      18 Mtunga-zaburi anaendelea kuimba: “Ni nani aujuaye uweza wa hasira yako? Na ghadhabu yako kama ipasavyo kicho chako [“hofu yako,” “NW”]?

  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Zaburi 90:11,

  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Hakuna yeyote kati yetu anayejua kikamili uweza wa hasira ya Mungu au kiasi cha ghadhabu yake, jambo linalopasa kuzidisha hofu yenye staha kwa Yehova. Naam, jambo hilo linapasa kutuchochea kumwomba atujulishe “[jinsi tunavyoweza] kuzihesabu siku zetu, tujipatie moyo wa hekima.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki