Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • 20. (a) Mungu ‘hughairi’ kwa njia gani? (b) Yehova atatutendea jinsi gani tukifanya kosa zito lakini tuonyeshe toba ya kweli?

      20 Lingekuwa jambo zuri kama nini kama tungeweza kufurahia siku zote zinazobaki za maisha yetu! Kuhusu jambo hilo, Musa anasihi: “Ee BWANA urudi, hata lini? Uwahurumie watumishi [“ughairi juu ya watumishi,” “NW”] wako.

  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Zaburi 90:13,

  • Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Mungu hakosei. Hata hivyo, wakati onyo lake la kutoa adhabu linapobadili mtazamo na mwenendo wa wakosaji wenye kutubu, yeye ‘hughairi,’ ‘akageuka’ na kuacha hasira yake. (Kumbukumbu la Torati 13:17)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki