-
Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku ZetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Matendo yako na yaonekana kwa watumishi wako, na adhama yako kwa watoto wao.” (Zaburi 90:15, 16)
-
-
Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku ZetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Aliomba kwamba “matendo” ya Mungu ya kuwabariki Waisraeli yatambulike kwa watumishi Wake na adhama Yake kwa watoto au uzao wao. Tunaweza kwa kufaa kuwaombea baraka wanadamu waaminifu watakaokuwa katika dunia mpya iliyoahidiwa na Mungu.—2 Petro 3:13.
-