Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Ni Kimbilio Letu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Tu Salama Katika ‘Mahali pa Siri pa Mungu’

      3. (a) Ni nini “mahali pa siri pake Aliye juu”? (b) Tunapata nini kwa ‘kukaa katika uvuli wake Mwenyezi’?

      3 Mtunga-zaburi anaimba: “Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.

  • Yehova Ni Kimbilio Letu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Zaburi 91:1,

  • Yehova Ni Kimbilio Letu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Mahali pa siri pake Aliye juu” ni mahali pa mfano ambapo sisi na hasa watiwa-mafuta, ambao ndio sanasana hushambuliwa na Ibilisi, hupata ulinzi. (Ufunuo 12:15-17) Ibilisi angetuangamiza sote kama hatungekuwa tunalindwa na Mungu kwa kuwa tunakaa naye tukiwa wageni wake wa kiroho. Kwa ‘kukaa katika uvuli wake Mwenyezi,’ tunapata ulinzi chini ya kivuli cha Mungu. (Zaburi 15:1, 2; 121:5)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki